Monday, August 20, 2012

JE WAJUA ?

      Katika mada iliyopita nilijaribu kuwapa picha ya wafanyakazi wa kampuni la uzalishaji ambalo sheria na taratibu zake za kazi  ni kuwa na mda maalumu wa kuingia kazini ila mda wa kutoka hautabiriki ikiambata na malipo madogo.
      Leo nimebatika tena utembelea makampuni mengine ,baada ya kuhojia na wafanyakazi nikagundua yakwamba wao wanao mda maalamu wakufika kazini na kutoka nakama italazimu kuendelea na kazi basi huo nimkataba mpya ambao utaambatana na malipo mengine ya papo kwa hapo.Pamoja nakusema wanaangali katika maswala ya malipo hebu tuangalie upande mwingine.
  Unyanyasaji wa kijinsia na mahusiano ndani ya kampuni hizo nitumia mda takribani 15 kwa kila kampuni nilichokigundua nikwambaukiwa mwanamke huwezi pata kazi mpaka utoe rushwa ya ngono na mwanaume utoe rushwa ya hela hapo utapata kazi kwa urahisi nje yahapo kazi hupati.
   Muone huyu mwanamke ambaye kutokana hali ya maisha anaamua kuruhusu mwili wake utumiwe na mwanaume ambeye si mumewe ili apate kazi wakati ankuwa na wazo lakwamba ngoja nimpe huyu meneja muajiri,pasipo kujua kuwa yule anafanya kazi ya kuajiri tu ila wapo wakuu wa idara na wasaidizi wake atakapo kabidhiwa kwa mkuu wa idara naye atamtaka kimapezi ili ampe kazi nyepesi  msimamizi (superviser) naye atamtaka kimapezi ili amuandikie ripoti nzuri na fundi naye atamtaka ili aweze kumtengenezea mashine yake ya kazi ili aweze kufanya kazi kwa wakati kumkata mmoja kupelekea hatari kweye kazi yake kwahi unakuta mwanamke yule anakuwa niwakuchezewa mwili wake na kila mwenye cheo ndani ya kampuni kisa ajira. Jamni waungwana waoneni watu wakisema tunaenda kazini ila kuna mengi ndani yake.yapo makampuni X,Y na Z humu Tanzania we mwanaume mkeo akija akikuambia amepata kazi kampuni X basi jua pia kakupatia wanaume wengine na wewe  mwanamke mumeo akikuambia ninafanya kazi ya ufundi, superviser, mkuu wa idara  au meneja muajiri jua unao wake wezako wengi sana.
 We mwanamke , we mwanaume je wajua?
                                Sasa wajameni ambao tulikua hatujui kuwa hali ikoje sasa tushapata picha je tupo tayari kwa hayo. karibuni katika ukurasa tujaibu kuchangia mawazo.

No comments:

Post a Comment