Katika mada iliyopita nilijaribu kuwapa picha ya wafanyakazi wa kampuni la uzalishaji ambalo sheria na taratibu zake za kazi ni kuwa na mda maalumu wa kuingia kazini ila mda wa kutoka hautabiriki ikiambata na malipo madogo.
Leo nimebatika tena utembelea makampuni mengine ,baada ya kuhojia na wafanyakazi nikagundua yakwamba wao wanao mda maalamu wakufika kazini na kutoka nakama italazimu kuendelea na kazi basi huo nimkataba mpya ambao utaambatana na malipo mengine ya papo kwa hapo.Pamoja nakusema wanaangali katika maswala ya malipo hebu tuangalie upande mwingine.
Unyanyasaji wa kijinsia na mahusiano ndani ya kampuni hizo nitumia mda takribani 15 kwa kila kampuni nilichokigundua nikwambaukiwa mwanamke huwezi pata kazi mpaka utoe rushwa ya ngono na mwanaume utoe rushwa ya hela hapo utapata kazi kwa urahisi nje yahapo kazi hupati.
Muone huyu mwanamke ambaye kutokana hali ya maisha anaamua kuruhusu mwili wake utumiwe na mwanaume ambeye si mumewe ili apate kazi wakati ankuwa na wazo lakwamba ngoja nimpe huyu meneja muajiri,pasipo kujua kuwa yule anafanya kazi ya kuajiri tu ila wapo wakuu wa idara na wasaidizi wake atakapo kabidhiwa kwa mkuu wa idara naye atamtaka kimapezi ili ampe kazi nyepesi msimamizi (superviser) naye atamtaka kimapezi ili amuandikie ripoti nzuri na fundi naye atamtaka ili aweze kumtengenezea mashine yake ya kazi ili aweze kufanya kazi kwa wakati kumkata mmoja kupelekea hatari kweye kazi yake kwahi unakuta mwanamke yule anakuwa niwakuchezewa mwili wake na kila mwenye cheo ndani ya kampuni kisa ajira. Jamni waungwana waoneni watu wakisema tunaenda kazini ila kuna mengi ndani yake.yapo makampuni X,Y na Z humu Tanzania we mwanaume mkeo akija akikuambia amepata kazi kampuni X basi jua pia kakupatia wanaume wengine na wewe mwanamke mumeo akikuambia ninafanya kazi ya ufundi, superviser, mkuu wa idara au meneja muajiri jua unao wake wezako wengi sana.
We mwanamke , we mwanaume je wajua?
Sasa wajameni ambao tulikua hatujui kuwa hali ikoje sasa tushapata picha je tupo tayari kwa hayo. karibuni katika ukurasa tujaibu kuchangia mawazo.
Mteti Hussein
Monday, August 20, 2012
Saturday, June 16, 2012
JE WAJUA ?
JE WAJUA KWAMBA KUNA MAKAMPUNI MENGINE HUMU TANZANIA YANA MDA MAALUMU WA KUINGIA KAZINI LAKINI MDA WAKUTOKA HAUJULIKANI.
JE WAJUA MSHAHARA WA VIBARUA WA MAKAMPUN HAYO.
NILISHATEMBELEA KAMPUNI MOJA LA UZALISHAJI KWENYE KUDADISI NIKAAMBIWA VIBARUA WANAINGIA KAZINI SAA KUMI NA MBILI ASUBUHI LAKINI KUTOKA NI MWISHO WA UZALISHAJI.NIKAULIZA JE UZALISHAJI UKISHA SAA SABA USIKU PIA MTATAKIWA KUINGIA ASUBUHI KAMA KAWAIDA WAKANIJIBU HAIJALISHI UMETOKA SAA NGAPI UNACHATAKIWA NI SAKUMI NA MBILI UPO KAZINI.JE WEWE UNAFIKIRI HAO WATU WANALIPWA KIASI GANI KWA SIKU? USIFIKIRIE SANA WANALIPWA TSH.4300/= KWA SIKU . JE UNAFIKIRI WANARIDHIKA NA HIYO HALI LA WAO WANADAI WAFANYEJE NA NDO MAISHA YAO NANDIPO WALIPOFIKIA.
JE WEWE UNGEFANYA KAZI HIO ?

Monday, June 11, 2012
Sunday, June 5, 2011
SHUKURANI KWA BABA NA MAMA
Ni mila na utamaduni wa mtanzania kutoa shukurani za dhati kwa yeyote atakayemsaidia kwa njia moja ama nyingine.Basi na nikiwa mtanzania sina budi kutoa shukurani zangu za dhati kwa wazazi wangu si kwa kunizaa bali kwa tabu namisukosuko walioipata wakati toka utotoni mpaka hapa nilipofikia.Japokuwa nimoja ya majukumu yamzazi ila kwa upande wangu ilikuwa imezidi hasa katika kuniwezesha katika swala zima la elimu.
Kwa kiasi kikubwa wamekuwa nguzo,wanga na tekemeo la maisha yangu toka shule ya msingi hadi kidato cha sita sitakuwa nimekosea kusema wasinguwa wao nisingefika hapa nilipo niseme nawashukuru sana mama na baba kwa kazi kubwa mliofanya mungu awape maisha marefu na moyo wa upendo si kwa watoto wenu hata kwa ndugu jamaa na marafiki.
Nikweli safari ya maisha yangu hasa ya shule ilikuwa chini ya mikono ya wazazi wangu ila kwa upande mwingine wapo ndugu na marafiki walichangia safari hii kufika hapa nilipo nao ni,walimu wote wa shule ya msingi MARETI 1994-2001 shukurani za dhati kwa mwalim NIPA ambaye alikuwa mwalimu wangu wa darasa la kwanza,walimu wote wa KIGONIGONI SECONDARY SCHOOL 2002-2005,walimu wote wa KIRONGAYA SECONDARY 2006-2007,walimu wote COSTAL HIGH SCHOOL 2008-2010.Pia siwezi kumsahau MR. RAJUNI HASSANI MTETI ambae nimeishi nae kwa kipindi cha miaka minne nikiwa Kigongoni secondary,MR AND MRS BAKARI HUSSEIN MTETI nikiwa Kirongaya secondary,MARIAM SAWAYA MSANGI ,ADAM DIWANI BWANAHINDI NA HAMIMU MUSSA,nikiwa Costal high school na wengine wengi.kwa pamoja nawapenda sana mungu awe nanyi.
Katika safari kama hii hapaachi kutokea furaha na karaha kwa yeyote nilie mkera basi namuombea kwa m/mungu apewe moyo wa huruma na upendo anisamehe.

Tuesday, May 10, 2011
Be with me around the world.
Realy am guest in bologgin but it is my hope as the time went on I will deliver to you special issues concerning academic, life and life style, experiences and many more plz join me n let me go with you every where in the world.
Thanks a lot to my boy Finland Bernard for the great work what ever sijapata kuona, respect you guy may God stand with you alwayz.
Special thanks to my momy Jazila Sawaya, my Dady Ally Hussein Mteti, my sisters Shani, Amina and Neema Ally also to my young brah! Sawaya Ally and Seleman and to those who did alot for me until to be here n where I am, Mr Bakari Mteti and Mrs Delifina Mteti as popular known as mama Mgeni.
Nawapenda sana, may God bless you alwayz.
Subscribe to:
Posts (Atom)